Tuesday, 24 March 2020

FOMU YA KUJIUNGA NA SHULE

  FOMU YA KUJIUNGA NA SHULE

Ujaze fomu ya kujiunga na Shule
Ukitaka kujiunga tafadhali ujaze fomu hii:     
Jibu maswali hayo :
Jina la ki-kristo: …………………                    Jina la Ukoo: ……………………………………………………………
Parokia :                …………………………                    Jimbo : …………………………………………………………………..
Tarehe ya Kuzaliwa : …………………….     Je, umebatizwa? …………….  Je, umepata Kipaimara? ……………….

Hali ya Maisha:
Mwanamke : ………….................                    Mwanamume :……………………………………………..
(Weka alama mahali unapohusika)
Kuoa :………………..Kuolewa : ....................... Mjane : ....................................  Hujaoa/olewa: ………...
Je, unawalea bado watoto?  ...............................
(Weka alama mahali unapohusika)

Elimu : 
Umemaliza Darasa la VII :............ Kidato cha IV:..........  Kidato cha VI: ……. Masomo zaidi: ..........................
(Weka alama mahali unapohusika)
Kazi au Shughuli unayofanya hadi tarehe ya leo: .....................................................................................................

 Utume:
Je, Unafanya kazi gani ya kitume katika parokia yako ? : ……………………........................................................
Je, umejaliwa karama gani na Roho Mtakatifu? : …………………………………………………………………..

Anwani yako kamili : ……………………………………………………………………………………………….

 Namba ya simu yako ya mkononi: ……………………....................................................
Je, wazazi  na viongozi wa Karismatiki wanasemaje juu yako : ..............................................................................
....................................................................................................................................................................................
Eleza kwa kifupi kwa nini unataka kujiunga na Mwaka wa Ki-roho huko Kungwe:
....................................................................................................................................................................................
....................................................................................................................................................................................
....................................................................................................................................................................................
....................................................................................................................................................................................
Toa saini yako:
Tarehe : .................................................................               Saini: .................................................................................

Utume fomu hii
Baada ya kujaza fomu hiyo uirudishe mapema kabla ya mwisho wa mwezi wa 4 kwa anwani ifuatayo:
Kituo cha Kungwe, Agape Centre, P.O.Box 76021 Dar-es-Salaam, Tanzania. Au kwa e-mail:  kungweformationcentre@gamail.com
Kungwecentre@outlook.com
Utajibiwa mapema na kuambiwa la kufanya ili kujitayarisha.               

kungweformationcentre@gmail.com 

No comments:

Post a Comment