KITABU CHA HISTORIA YA KARISMATIC TANZANI
Karismatiki ilivyoanza
Imeandikwa na Patti Gallagher Mansfield, Imetafsiriwa na Padri Theo Van Schayk. Kijitabu hiki kina karasa 20,za A 5.
Agape Publications, P.O.Box 76021 Dar-es-Salaam
Patti Galagher
Manfield anaeleza kinaganaga mwanzo wa Karismatiki Katoliki huko Marekani. Yeye
mwenyewe alikuwa mmojawapo waliopokea neema hiyo. Anashuhudia kwa macho yake
yote yaliyotukia.
kitapatikana online "soon"
No comments:
Post a Comment